Zaidi ya ekari 3,000 zaharibiwa na viwavi Trans Nzoia
Published on: April 08, 2017 09:10 (EAT)
Huku msimu wa upanzi ukianza katika kaunti za Trans Nzoia na Bungoma ambazo hukuza vyakula kwa wingi katika taifa hili, wakulima wa mahindi katika maeneo hayo tayari wameanza kukadiria hasara. Kama anavyoarifu mwanahabari wetu Collins Shitiabayi mashamba ya maeneo hayo yamevamiwa na viwavi wanaokula mimea na ambao kufiki sasa tayari wameharibu zaidi ya ekari alfu tatu za mahindi.
Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke
Comments
No comments yet.
Leave a Comment