Zaidi ya nyumba 1500 Nairobi sio salama


Tunaanza nipashe na taarifa ambazo huenda ziwakatia wapangaji wengi  tumbo jumbo,  kwani takriban majumba 1500  sio salama kwa makaazi hapa jinini nairobi. Takwimu kutoka  kitengo kinachochunguza majengo humu nchini  zinaaashiria kuwa zaidi ya asilimia hamsini ya majumba hayo huenda yakaporomoka wakati wowote. Ili kuokoa maisha ya wakaazi kitengo hicho kimeshauri nyumba hizo kubomolewa haraka iwezekavyo kama anavyotueleza patrick igunza.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: Former sports CS Hassan Wario convicted over Rio games scam

Avatar
Story By Citizen
More by this author

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *