Zaidi Ya Wamiliki Baa 1500 Kufika Mahakamani

Wamiliki wa baa mjini Mombasa wamepinga vikali sheria mpya za kudhibiti sekta hiyo wakidai kuwa matakwa yao hayakutiliwa maanani na serikali ya kaunti hiyo. Zaidi ya wamiliki wa baa elfu 1500 wamesema wataenda kortini kupinga hatua ya serikali ya kaunti kutekeleza sheria hizo.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories