Zoezi La Ajira Ya Polisi Kufanyika Jumatatu Ijayo

Idara ya kitaifa ya huduma ya polisi nchini imetangangaza upya hii leo shughuli ya mchujo wa makurutu wanaotarajia kujiunga na huduma hiyo itakayofanyika tarehe ishirini mwezi huu. Kulingana na tangazo hilo kwenye magazeti vijana  wote wanaotarajia kujiunga wachukue fomu ya kujaza katika vituo vya polisi vilivyokaribu nao pamoja na afisi za machifu wao ama kituo cha huduma centre. Na kama mwanahabari wetu Alex Kubasu anavyotueleza, makurutu wote wameonywa dhidi ya udanganyifu au ufisadi wa aina yoyote.

 

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories