Zoezi la kutwaa silaha haramu huko Laikipia laendelea

Wakaazi wa rumuruti kaunti ya laikipia wameunga mkono hatua ya serikali ya kitaifa kuongoza oparesheni ya kutwaa silaha haramu ambazo zimesababisha mashambulizi baina ya jamii za wafugaji zilizoko katika eneo hilo huku wanasiasa kutoka eneo la Samburu wakipinga hatua hiyo na kuitaka serikali kusimamisha oparesheni hiyo.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories