Mashambulizi Loruk


Basi lililokuwa limebeba wanafunzi wa shule ya upili ya nginyang lilishambuliwa jana usiku karibu na mji wa loruk kaunti ya Baringo. Wanafunzi hao walikuwa safarini kutoka mashindano ya muziki.   Hakuna aliyejeruhiwa katika tukio hilo huku maafisa wa polisi waliokuwa wakitoa ulinzi hawakuskia milio ya risasi kutoka kwa washambulizi hivi hawakuwa na sababu ya kufyatua risasi.Shambulizi hili linajiri siku moja tu baada ya kamishna wa kaunti  wa Baringo peter Okwanyo kutoa agizo kwa maafisa wa polisi kuwauwa wezi wa mifugo mara tu wanapokumbana nao, agizo ambalo anasema bado halijabadilishwa

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: Former sports CS Hassan Wario convicted over Rio games scam

Avatar
Story By Anthony Dianga
More by this author

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *