Siha Na Maumbile: Hijama/ Kuumika


Asilimia 70 ya magonjwa hutokana na damu kushindwa kuzunguka vizuri mwilini. Aidha viungo vya mwili hushindwa kufanya kazi yake vizuri pale damu inapokuwa imejaa sumu ama uchafu mwingine. Bila kuondoa sumu hiyo mwilini sio tu kwamba mtu hawezi kupona maradhi anayougua haraka bali pia mtu anakuwa katika hatari zaidi ya kupata maradhi mengine . Swali je, damu inasafishwa vipi vipi? Kuna  njia nyingi kama wanavyopendekeza wataalamu wa afya  lakini  leo katika siha na maumbile ninaangazia hijama au kuumika kama njia moja ya kusafisha damu ambayo imekuwa ikitumika tangu jadii.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: Different journeys, same destiny: The story of top two candidates | KCSE 2020 |

Avatar
Story By Anthony Dianga
More by this author

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *