Uhuru Amewasuta Maseneta Na Wabunge


Rais Uhuru Kenyatta amewasuta maseneta na wabunge wa Bunge La Kitaifa kwa kuzozana hadharani kuhusu mgawo wa bajeti ya mwaka 2015/16, baadala ya kutafuta suluhu muafaka. Kenyatta amesema wananchi hawana haja na mitafaruku na ubambe kati ya mabunge hayo mawili, na la muhimu ni utoaji wa huduma muhimu katika serikali ya kitaifa na zile za kaunti. Francis gachuri ana taarifa kamili.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: | BULLDOZERS FOR SANITIZERS | Families remain in the cold after evictions from Kariobangi sewage estate

Avatar
Story By Anthony Dianga
More by this author