videos

Naibu Rais William Ruto hii leo anakutana na mabalozi na wajumbe wanaowakilisha mataifa mbali mbali katika hoteli moja hapa Nairobi. Mbali na mabalozi, Naibu rais pia anatazamiwa kufanya mkutano na wafadhili kutoka mataifa mbali mbali.